TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Mama Rwakatare hatunae.
Amefariki Leo 20/04/2020/alfajiri.

Habari zaidi zitawajia kutoka ndani ya familia ya Marehemu. Mama Rwakatare amekuwa Mbunge viti maalamu CCM tangu 2010. Pia ni mchungaji wa kanisa la kiroho lililopo Dar es salaam. Pia aliwahi kuwa Mkurugenzi shule za secondary za St Marries.

RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…