Mama Rwakatale yupi hasa?
Ni yule mama aliyekuwa akishangilia juzi juzi bungeni akitaka Zitto auwawe?
Ilikuwa siku ya wajinga duniani 1/4
Kama kweli apumzike alipojichagualia na namuomba ALLAH amfanyie wepesi kwenye maisha yake mapya nje ya uso wa dunia, wale wanawake wa upepo wa kisulisuli sikubahatika kupata hata mmoja.mama wa upepo wa kisuli suli. RIP
Mwenyewe nawaza kama wewe tena kuna jamaa yangu nimetoka kuongea nae kuhusu suala hilo2Haya sasa, hilo kanisa lake sijui litaendelea? Maana mmiliki ameshafariki.
Ndio shida ya kanisa kumilikiwa na mtu mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikesha ulimuona?!RIP mama! Ulikesha siku tatu ukimuomba Mungu atukinge na Corona. Kwa hili kweli ulimlilia Mungu!