Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mama Rwakatale yupi hasa?
Ni yule mama aliyekuwa akishangilia juzi juzi bungeni akitaka Zitto auwawe?
Huyo huyo, watu wenye siasa chafu kama hiyo mama wakifariki hakuna haja ya kusikitika, maana alikuwa mshenzi tu.