mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Marry Ngowi,
Kwanini umeandika haya juu ya wana JF?
Kwanini umeandika haya juu ya wana JF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya hivi karibuni alitaka kulirudisha kwa kanisa mama lakini naona baadhi ya masharti yalimshindaHata njia ya Mungu aliiacha Muda
Wapo viongozi ambao aliwaziba midomo kwa kiburi cha pesa zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati analianzisha lilikuwa TAG Tanzania Assemblies of God, baadae akaondoa Tanzania..ikawa ministry ya Mikocheni Assemblies of God, sina uhakika kama alisajili upya au aliendelea kutumia usajili wa TAG.Kama ana usajili wake itarudi vipi,hivi kanisa lake ni Tanzania Ass. Of God au ni Assemblies of God?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Kauli nzito mno..... Apumzike Kwa Amani mama...Of all nakumbuka tu kauli yake, "the nearer the bone the sweeter the meat, the more you squeeze the more to please"...R.I.P. Mama Getrude
Shalom wapendwa katika Kristo nasikitika kuwa taarifu msiba wa mama yetu Askofu na Mh. Getrida Rwakatare ambae amefariki alfajiri ya saa 11 naomba tuiweke familia yake kwenye maombi By Bishop Apostle Dr. Jaochim Kimanza
Kuna Mheshimiwa