R.I.PTANZIA: Mtangazaji wa zamani maarufu na gwiji la kutangaza kandanda Ahmed Jongo amefariki dunia leo, Jumapili.
> Nguli huyo wa utangazaji wa Redio Tanzania kwa sasa TBC, alistaafu mwaka 2005 .
TANZIA: Mtangazaji wa zamani maarufu na gwiji la kutangaza kandanda Ahmed Jongo amefariki dunia leo, Jumapili.
> Nguli huyo wa utangazaji wa Redio Tanzania kwa sasa TBC, alistaafu mwaka 2005 .
Ndio yeye mkuu,umenikumbusha mbali sana aisee! "Maguu kumi na mbili" alikua mara nyingi akitangaza mpira na Charles hilary na ndiye aliyemfundisha Hilary utangazaji wa mpira,Huyu ndo aka Mzee wa Maguu 12?
RIP.
Ndio yeye mkuu,umenikumbusha mbali sana aisee! "Maguu kumi na mbili" alikua mara nyingi akitangaza mpira na Charles hilary na ndiye aliyemfundisha Hilary utangazaji wa mpira,
R.I.P Ahmed Jongo.
Maguu 12, gozi la ng'ombe na chronometer, hiyo ndio ilikuwa misamiati yake maarufu.Huyu ndo aka Mzee wa Maguu 12?
RIP.
Maguu 12, gozi la ng'ombe na chronometer, hiyo ndio ilikuwa misamiati yake maarufu.
Vv
TANZIA: Mtangazaji wa zamani maarufu na gwiji la kutangaza kandanda Ahmed Jongo amefariki dunia leo, Jumapili.
> Nguli huyo wa utangazaji wa Redio Tanzania kwa sasa TBC, alistaafu mwaka 2005 .
======
Ahmed Jongo aliwahi kuomba msaada wa matibabu kupitia vyombo vya habari
> Alikuwa akisumbuliwa na miguu na macho