TANZIA: Gwiji la utangazaji Ahmed Jongo afariki dunia

TANZIA: Gwiji la utangazaji Ahmed Jongo afariki dunia

MUNGU ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi.
 
Huyu ndiye aliambatana na timu ya Taifa kule Lusaka katika mchezo wa mwisho kuamua nani katika kundi lile angetuwakilisha kule Lagos, Nigeria. Peter Tino alipofunga lile goli la ushindi, sauti ya furaha ya huyu mzee hakika ilitia hamasa kubwa sana. mwenye clip ya lile goli angetuwekea hapa kama kumbukumbu ya mzee huyu Gwiji wa michezo.

Wazee hawa, Jongo, Salim Mbonde, Ahmed Kipozi, Suleiman Kumchaya duu, hakuna ambaye asingependa kusikiliza wakitangaza mpira.
 
Apumzike kwa Amani.nakumbuka kazi yake ya kutangaza Mpira miaka ya 90.
 
Innalillah wa innahillah rajuun.. Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi kwenye makazi yake mapya..
Amiin.
 
TANZIA: Mtangazaji wa zamani maarufu na gwiji la kutangaza kandanda Ahmed Jongo amefariki dunia leo, Jumapili.

> Nguli huyo wa utangazaji wa Redio Tanzania kwa sasa TBC, alistaafu mwaka 2005 .

======

Ahmed Jongo aliwahi kuomba msaada wa matibabu kupitia vyombo vya habari

> Alikuwa akisumbuliwa na miguu na macho

Utashangaa kwenye msiba jinsi watu watakavyotoa sifa lukuki huku hawakumtibu alipoomba msaada
 
Back
Top Bottom