Tatizo kubwa ma Legendary Wakitanzania wengi wao wanakufa na umaskini sijui shida iko wapiHe achieved alot!...R.I.P Legend!
Watangazaji vijana wengi wana-copy utangazaji wakeToo sad, jamaa walitupa burdani sana, swaga za anamimina majaro kule.
Aisee.
Watangazaji vijana wengi wana-copy utangazaji wake
Vijana pia walimbatiza jina la Uncle father maguu 12(ongezea mwishoni) ya mtu mzimaHuyu ndo aka Mzee wa Maguu 12?
RIP.
Ambayo commentators wa siku hizi wameiridhi, go legend we'll miss youMaguu 12, gozi la ng'ombe na chronometer, hiyo ndio ilikuwa misamiati yake maarufu.
Vv
Vipi wewe hauishi nchi hii na haujaja muda mrefu?Tatizo kubwa ma Legendary Wakitanzania wengi wao wanakufa na umaskini sijui shida iko wapi
R.I.P Mzee Jongo
Utangazaji unalipa si unaona Kitenge anapata mpaka nauli ya kukwea Emirates Business Class kila wiki kuangalia EPLVipi wewe hauishi nchi hii na haujaja muda mrefu?
Utashangaa kwenye msiba jinsi watu watakavyotoa sifa lukuki huku hawakumtibu alipoomba msaadaTANZIA: Mtangazaji wa zamani maarufu na gwiji la kutangaza kandanda Ahmed Jongo amefariki dunia leo, Jumapili.
> Nguli huyo wa utangazaji wa Redio Tanzania kwa sasa TBC, alistaafu mwaka 2005 .
======
Ahmed Jongo aliwahi kuomba msaada wa matibabu kupitia vyombo vya habari
> Alikuwa akisumbuliwa na miguu na macho