TANZIA: Gwiji la utangazaji Ahmed Jongo afariki dunia

RIP Ahmed Jongo, tutakukumbuka kwa utangazaji wako mahiri wa mpira wa miguu
 
R.I.P chaza ndani ya kisahani cha dhahabu
 
Muanzilishi wa neno maguu 12 ilipokuwa inatolewa penati
 
Wakati ule wa maguu 12 kulikuwa hakuna runinga ,lakini kwa jinsi watangazaji walivyokuwa mahiri unaposikiliza radio utadhani unaangalia runinga,huyu bwana akiwa na akina Sekiani Kitojo,Mshindo Mkeyenge ilikuwa balaa ,unaposikiliza akitangaza ni kama sasa unatazama runinga.
 
INNA LILLAH WAINNA ILAYHI RAJIUN kamaliza safari yake ya duniani mungu amrehemu
 
nikapangiwa External Service.
Umenikumbusha mbali, nimejaribu kusikiliza TBC international, haiko vizuri hasa upande wa watangazaji, si weledi katika lugha ya kiingereza ni wabababishaji hadi inakera kusikiliza, kuna radio inaitwa ClassicFM wanatangaza kwa lugha ya kiingereza pia ila wako vizuri. Unaweza kuta msaada wa kitaaalamu pale.
 
IWI Rajiun UNCLE FATHER, MAGUU 12 YA MTU MZIMA. enzi hizo yupo na Salim Mbonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…