TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Chibu nafsi itakuwa huru but rip ivan
Raha ya mwanamke alieachika bwana'ake afe sheikh,otherwise hata ukiambiwa naenda mara moja kuwasalimia wanangu unaanza akili kuzipeleka mbaali kwamba anampelekea kibwimbwi jamaa nini ila kama hivi mbona hata kumzika utaenda kumzika!!!tutaona kwa dogo kama hakupanda ndege.
 
We mtoa mada bwana😀😀 Jinga kweli...Unafki gani...Sasa we ulitaka auchune asitoe hata ya moyoni kwamba kifo cha mtu aliezaa nae kimemwumiza.....Sometymes ndoa ikizingua mnakaa pamoja mnaelewana kwamba mkiendelea kulazimisha ndoa mtaumizana so kila moja wenu ataendelea na maisha yake lakini haina mana kwamba ndo mchukuane kabisa...No no no...Kumbuka zari na ivan wana watoto, hivi unajua maana ya familia mkuu? familia ni zaidi ya uijuavyo, its more than blood,
 
Kuachana ni kawaida.muhimu hawakuachana kwa ubaya. Yaani muanzisha uzi ushaanza kuwaza urithi hata marehemu hajazikwa. Baada ya Ivan kila mtu aliendelea kuwa na mahusiano mengine. Na ukiangalia interview za zari hakuwahi kumsema ubaya sehemu yoyote ile. Na ndio maana juu ya yote walikuwa na karibu. Mambo ya mahusiano huwa sometimes mengine hayavumiliki unaamua the best way ni kutoka. Eti ukae kisa urithi. Alijua jamaa ana hela ila wakaachana.
 
kweli nimeona umuhimu wa subra.sasa hivi angekula urithi wake kwa raha zake .sasa hivi sijui anaendaje kudai vitu vya marehemu hata kama ni kwa ajili ya wanae.ndo maana wanawake wengi huwa wanavumilia ndoa kwa ajili ya watoto wao
Duh wanawake wa kibongo bana mnawaza urithi tu
 
King lawrence alishaanga mingo za kujirithisha kabla marehemu hajakata roho. Kufa kufaana wapambe nuksi sana
 
Hawakuwa wameachana. Hakuna talaka. Ndio maana Chibu hakuweza kufunga ndoa na Zari. Anachoangalia Zari sasa ni mali za watoto wake! patamu hapo.......
kwani Zari na Ivan walifunga ndoa???
 
Mbona nakuona una aki lza kijima sana kuliko hata sisi vikongwe?

Kwa hiyo wewe unataka hata kama watu wanashindana waendelee kukaa wote kwa kuwa wanaume tutakufa na kuwaachia majonzi?

Unafahamu kwamba kuachana kunaweza kuongeza ustawi katika maisha na malezi ya watoto kuliko mnavyowaua watoto kisaikolijia vile wanavyokua wakishughudia mnagombana na kudhalilishana kila sku?

Unaelewa kwamba umbali unaweza kuumba amani na ustarabu mzuri kwa maisha ya wahusika wote?

Kwa mtazamo wako wewe, unamaanisha watu wakiachana kwa tofauti katika upande mmoja basi mazuri yao wote yafe? Unaelewa kwamba mtu anaweza kuwa great man kwa ubunifu wa kibiashara lakini asiwe a good lover?
Unafahamu mtu anaweza kuwa handsome na mchapa kazi lakini akashindwa kukaa na mwanamke kwa ajli ya kutokujali ndugu, ubinafsi ama kiburi?

Unaweza kuelewa kwamba mtu anaweza kuwa na kila kitu lakini maumbile mkashindwana?

Unaweza kufikiria mtu anaweza kuwa great in all other things lakini akawa mshirikina na mwenziye asikubaliane naye?

Kwa hiyo unataka kwamba mkitofautishana kiasi cha kutokuvumiliana katika nyanja moja, basi yale mazuri ya mwenxiyo usiyaseme?

Kwa hiyo Zari angelkuwa naye mauti insingemfika? Au labda unataka Dai awe na mtu mwingine?

NINADHANI SI BUSARA KUMTUKANA ZARI ETI KAMSIFIA EX WAKE AS IF KUACHANA NI UADUI.
MBONA HUKUMKATAZA KWENDA KUMWUGUZA?
UNADHANI WANGELIKUWA NA UADUI KAMA UNAOUTAKA WEWE, NANI ANGERUHUSU ZARI KUKAA NAYE AKIWA KWENYE COMMA?

ETI UMALAYA!, WEWE UNAJUA NI KITU GANI KILIMFANYA ZARI WAKAACHANA HADI AKAKUTANA NA DIAMOND?

ACHENI KUINGILIA MAHUSIANO YA WATU. KAMA ULIVKUWA UNAJALI SANA,ULITAKIWA KUWASULUHISHA BADALA YA KUJA NA COMMENTS ZENYE CHUKI. MAPENZI HAYALAZIMISWHI, YAKIISHA YAMEISHA LAKINI HATA YAKIISHA HAKUNA MTU MBAYA AMA MZURI KILA ENEO. ZURI LINASEMWA NA BAYA LINASEMWA.

WMACHENI ZARI JAMANI. NAYE NI BINADAMU TENA ANA DAMU NA NYAMA KAMA WEWE.
Umemaliza yoooote, hongera sana.
 
Mume uliyezaa nae watoto watano ukamuacha solemba, tamaa ya ujana ikakushika japo umri ulikutupa ukaja kufanya uasherati na kula raha na Diamond na kusahau kuwa ulipaswa uvumilie mlee watoto na wenzio.

Leo hii kwenye post yako unamwita great man na kumpa sifa kedekede marehemu Ivan baada ya kufariki kwani ulikuwa wapi kusema haya wakati hajafa?

Hili liwe funzo kwa wanawake mnaoacha waume zenu na kwenda kurukaruka na kula starehe iko siku watu mnaowaacha watakufa na kuwaacha ktk hali ambayo mtaumia sana. Sasa hivi Zari anatamani amuombe msamaha Ivan ila hawezi tena anatamani aseme neno lkn tayar amechelewa.

Hakuna wakati mgumu hapa duniani kama kudaiwa kihisia na marehemu

Mkuu mi nakurekebisha tu ni mume aliyezaa naye watoto watatu na si watano..hao wawili wanaokamilisha idadi ya watano ni wa Diamond
 
Kumbe unaakili duni kiasi hiki. Wewe unawazidi nini wanawake? Mama yakohukuzaa? Kwa nini ulioa mke kama wanawake hawana thamani kwako?

Kama huwezi kusikiliza mashauri ya mama yako, lazima uwe hivi!. Pole na kwa heri
Nmetupa jiwe gizani mimi
 
Duh wanawake wa kibongo bana mnawaza urithi tu
Aliyekudanganya zari na ivan hawakuoana nani? Walioana traditional marriage in Uganda ambayo kisheria ni ndoa halali. Unadhani kwanini chibu hajakimbilia kumuoa zari ?
 
Mpambe maarufu king lawrence kashaanza tabia za kiafrika kukusanya mabaki
 
Mtu akifa huwa anasemwa kwa mema,naye atakumbukwa kwa kias fulani na mkewe,Watoto watano bado unakimbia Ndoa!,kwel tamaa mbaya,ataamka kumekucha.
 
Daaaaa Starehe alizo kuwa anafanya IVAN na jinsi alivyo Fariki kirahisi rahisi....natamani nitafute kanisa nikaokoke Mapema! Mwisho wa yote rest In Peace
Ndo kama mzee Ysuph kaona mbali japo wadau wanamwona zoba
 
Japo marehemu si vizuri kumsema sidhani kama hiyo ilikuwa CSR...ni show offs...tabia za kitoto ... ndio maana Zari alimtema...

Kuna clip moja niliwai ona anamwaga ma pound UK...Zari yuko pembeni anatabasamu...(ila ukisoma tabasamu lake halikuwa real)
Wanasema alikua anakula makofi ya hapa na pale pia.
 
Umechemka ndani ya maji ya moto at boiking point eeeeeeh.

Hata hujui dunchu la maisha yao waliishije na wala hujaelewa aliyoyaandika baoi maneno hayo tu.

Kwanza umeanza kwa uongo na pia unatamani uwe walivyo....shame shaaaaaaaaa

Unafikiri kila wanaoachana wanakuwa maadui...jiulize na biashara zao wanazoingza pesa pamoja unafikiri walikuwa hawawasiliani..jiulize why yeye apigiwe simu kwanza kama hakuwa na umuhimu kama mama watoto. Jipige vibao vya usoni shaaaaa

Wivu.com
 
Mume uliyezaa nae watoto watano ukamuacha solemba, tamaa ya ujana ikakushika japo umri ulikutupa ukaja kufanya uasherati na kula raha na Diamond na kusahau kuwa ulipaswa uvumilie mlee watoto na wenzio.

Leo hii kwenye post yako unamwita great man na kumpa sifa kedekede marehemu Ivan baada ya kufariki kwani ulikuwa wapi kusema haya wakati hajafa?

Hili liwe funzo kwa wanawake mnaoacha waume zenu na kwenda kurukaruka na kula starehe iko siku watu mnaowaacha watakufa na kuwaacha ktk hali ambayo mtaumia sana. Sasa hivi Zari anatamani amuombe msamaha Ivan ila hawezi tena anatamani aseme neno lkn tayar amechelewa.

Hakuna wakati mgumu hapa duniani kama kudaiwa kihisia na marehemu
Hivi Zari yupo kweli humu Jf,,?
 
Back
Top Bottom