myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
sawa..Alitakiwa amove on na aoe kabisa, wallah leo angekuwa hai, kusema ukweli jinsi mond na zari walivyokuwa wanajianika lazima alikuwa anaumia tu.Sasa yeye yupo peke yake ,alitakiwa avute mke aweke ndani. Mimi nimejifunza kitu, mwenzako akikuacha na wewe tafuta mtu muwe public mahusiano yenu.
Hayo mawazo yako.Wanaume huwa wanatamani wanapomuacha mwanamke asipate mwingine wakumjali na kumthamini,sasa ikitokea umepata mwingine lazima achanganyikiwe au afee kabisa.
Yeah kabisa umesema ukweli sasa yeye aliamini hakuna mwanamke kama zari!kumbe mindset angetafuta mwanamke akaweka ndani angeumia Zari na haya yote yasingempata.Alitakiwa amove on na aoe kabisa, wallah leo angekuwa hai, kusema ukweli jinsi mond na zari walivyokuwa wanajianika lazima alikuwa anaumia tu.Sasa yeye yupo peke yake ,alitakiwa avute mke aweke ndani. Mimi nimejifunza kitu, mwenzako akikuacha na wewe tafuta mtu muwe public mahusiano yenu.
Hahahahahaaa according to baba mzazi mkuuyaani uachwe na mwanamke ndio ufe ??
muwe mnatumia akili mnapoandika
Apa sasa lugha gongana kwan mm nimesema hakuewa kisheriaAliyekudanganya zari na ivan hawakuoana nani? Walioana traditional marriage in Uganda ambayo kisheria ni ndoa halali. Unadhani kwanini chibu hajakimbilia kumuoa zari ?
Kwan madam hawatoishi kishua tena?wale watoto wake the way walivyokua wanaishi kishua daahh
malaya wanajuana..waarabu wa pembaKawaida ya mala... ndivyo mlivyo na madonda ndg yenu
Kweli kabisaHakitokufaaa chochote mali wala watot wako siku hiyo ikifika isipokuwa amali njema tu tumchen Mwenyez Mungu.
Umeshindwa kufikisha hoja bila matusi......hehee mleta mada uache ujinag utakuwa team wema........... mana wao bila aibu wako kule insta bila kujali zarina na yeye ni mwanadamu yule ni baba wa wanawe hata wangekosana nini !!wale watoto wananawaunganisa halafu wao bila aibu wala soni wanaongea maneno ya kishenzi utadhani huyu wema hatakufa ama ni mtakatifu kumbe na yeye ni kahaba kama makahaba wengine wa kule kona bar mchewww hebu muache upuuzi na hizi team mav.i mav.... kuna wakati mnapaswa kutumia busara na utashi wa kibinadamu team ushuzi wengine hata hamewafahamu hao mnaoshabikia kwa kuwaona zaidi ya picha zao lakini mwajifanya wajuaji nyamafu zako
Haaaa haaaa..Marehemu kafia South Africa Msiba uko Tanzania kuzika ni Uganda.
[HASHTAG]#NguvuyaSocialNetworks[/HASHTAG]
R.I.P Ivan Don