Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Watu wa madale mna tabu sana.Hivi kama ni Zari angelikuwa ametangulia mbele ya haki ulitegemea Ivan angeliandikaje kuhusu Zari?
Ungelikuja hapa kumuita mnafiki? una hakika Zari ndio chanzo cha kuachana na Ivan?
Mimi kwa uzoefu wangu wa watu kuwaona watu wenye pesa huwa ndio chanzo cha kuachana na wanawake wao...wengi huwa ni wanyanyasaji wanawake.....
Nafikiri ni vgumu kusema Zari ni chanzo ikiwa hakuna ushahidi wa kujua hilo...
Msihofu mtapata mme mwenza mwingine mwenye pesa mrithi tena.