TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Hivi kama ni Zari angelikuwa ametangulia mbele ya haki ulitegemea Ivan angeliandikaje kuhusu Zari?
Ungelikuja hapa kumuita mnafiki? una hakika Zari ndio chanzo cha kuachana na Ivan?
Mimi kwa uzoefu wangu wa watu kuwaona watu wenye pesa huwa ndio chanzo cha kuachana na wanawake wao...wengi huwa ni wanyanyasaji wanawake.....
Nafikiri ni vgumu kusema Zari ni chanzo ikiwa hakuna ushahidi wa kujua hilo...
Watu wa madale mna tabu sana.

Msihofu mtapata mme mwenza mwingine mwenye pesa mrithi tena.
3880790973b6dc8983cbac5915d30784.jpg
 
Hii story tamu kidogo ina ya kujifunza mengi japo tunaichukulia kiudaku na kiteam
 
Ama kweli duniani imani imekwisha,
Kwenye msiba wa fukara mambo huwa shwari,
Lakini kwa wenye mali ni matagizo,
Bora nikae pembeniiiiii

In Tx Mosha's voice
 
Huyo Ivan nilikuwa simfahamu... ila leo nimeperuzi na kugundua alikuwa anakula maisha na kuwa pia na foundation ya kusaidia watu.. its like giving back to the society ....Ampumzike kwa amani.. maana bongo sijawahi sikia msanii yoyote ana foundation ya kusaidia watu zaidi ya bifu za kila leo na nyingi za kuuza magazeti na habari za mtandao.. najua wengi hawatamsahau... nyie wasanii wa bongo endeleeeni kuwa na wachumba na kuweka heshima bar na gesti... nasema bongo sio tanzania ni gaboni
 
Yako mengi sana yakujifunza kila unapoona jambo likitokea.tumekua tukiijenga sana dunia yetu kwamajumba yakifahar nastarehe za kila aina ila hatujawahi kuijenga nyumba ambayo baada ya hii dunia kunamakazi huko tena yamilele.hapandipo mwanadamu anapohitajisana akili ya moyo zaid kuliko akili yakichwa.
Point,
 
Huyo Ivan nilikuwa simfahamu... ila leo nimeperuzi na kugundua alikuwa anakula maisha na kuwa pia na foundation ya kusaidia watu.. its like giving back to the society ....Ampumzike kwa amani.. maana bongo sijawahi sikia msanii yoyote ana foundation ya kusaidia watu zaidi ya bifu za kila leo na nyingi za kuuza magazeti na habari za mtandao.. najua wengi hawatamsahau... nyie wasanii wa bongo endeleeeni kuwa na wachumba na kuweka heshima bar na gesti... nasema bongo sio tanzania ni gaboni

Kwa diamond si kawaajiri kina Harmonize iyobo rayvan mavoko babutale sijui lavalava na wengine?? Hii si ndo giving back to society? Tatizo kiba kajiajiri mwenyewe ili aweke heshima ya kufyatua watoto tu nje ya ndoa!!..hata kikampuni kdg kimemshinda?
 
Alitakiwa amove on na aoe kabisa, wallah leo angekuwa hai, kusema ukweli jinsi mond na zari walivyokuwa wanajianika lazima alikuwa anaumia tu.Sasa yeye yupo peke yake ,alitakiwa avute mke aweke ndani. Mimi nimejifunza kitu, mwenzako akikuacha na wewe tafuta mtu muwe public mahusiano yenu.
Uko sahihi kabisa yaani hapo inakuwa piga nikupige... Mwenzako Akipost hammer na wewe pia unapost Hammer... Akinunua kisiwa lazma ulipe pia... Yaani hapo ni full wivu wa maendeleo mpaka mmoja asalimu amri [emoji4]
 
Roho itapumzika kama alizakuwa na mungu .sipendagi ujinga wa wa katolic,wakuombea marehem,Bible inasema baada ya kifo ni hukumu,HAKUNA mahusiano/mawasiliano KT ya mzima na mfu,ni ushetani tu
 
Back
Top Bottom