Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Heshimu imani za wenzio, huku ukisimamia unayoamini wewe, umelazimishwa kuamini ya wa Catholic??Roho itapumzika kama alizakuwa na mungu .sipendagi ujinga wa wa katolic,wakuombea marehem,Bible inasema baada ya kifo ni hukumu,HAKUNA mahusiano/mawasiliano KT ya mzima na mfu,ni ushetani tu
Buashara zake zipi? Labda ile ya Usangoma waiendeleze na DiamondKumbe na wewe unamawazo ya kimasikini namna hii. Unadhani Zari anafikilia urithi yule ana hela zake na biashara zake.
Roho itapumzika kama alizakuwa na mungu .sipendagi ujinga wa wa katolic,wakuombea marehem,Bible inasema baada ya kifo ni hukumu,HAKUNA mahusiano/mawasiliano KT ya mzima na mfu,ni ushetani tu
Roho itapumzika kama alizakuwa na mungu .sipendagi ujinga wa wa katolic,wakuombea marehem,Bible inasema baada ya kifo ni hukumu,HAKUNA mahusiano/mawasiliano KT ya mzima na mfu,ni ushetani tu
Wanaume wenye pesa za hivi huhitaji kuwajua. Ningewaona wa maana wangeamua kuanzisha mfuko kwa jina la Ivan.Hawa wanaume wenye pesa sijui hata huwa wanapatikana wapi?