Pamoja na Ivan kuwa na hela lakini hujiuliza kwanini Zari alimkimbia???..Waswahili mmeanza.
Utachelewa kufa lakini utakufa tu hata upelekwe marekani au wapi Sijui.Eti unasema ??
Basi ikitokea unaumwa nenda ukatibiwe kule muhi2 na mimi nikatibiwe Agakhan alaf tuone nani ata survive.
Hela ndio kila kitu kijana ingawa kufa kupo na hakuepukiki.
hahaha imenibidi nicheke tu maana hakuna namna nimesikitika sasna asee gone too soonWeka namba ya simu ya wahusika tuchangie directly, mana michango ikipitia kwa akina Gambo kwa walengwa inafika robo tu
Acha mambo yako..... Kifo chake wapo nilipo sema kinahusiana na freemason?Acha kuzusha, mbona ex wake yupo na walianzisha biashara pamoja!?
Cha muhimu ni watu mpime afya zenu.
Unayoongelea wewe hayo hayakuachi uteseke... yanakumaliza sekunde yamefata roho yako, hukai kuugua muda mrefu havina subira vitu hivyo ni pap kwisha... jipaishe uyajue.
Wakinga hatuna hela kama hizo sikuhiz kwooHa ha ha ha ha ha ha watu wabaya eti hela za masharti kama zile za wakinga