Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,127
Inalil llahi,Waina ilayhi, Rajing'una
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bilionea wakat aliondoka hapo ni watoto tu watakaoangaliwa tu na si vingine yaan tunaambiwa tunatakiwa kuwa wavumilivu kwenye ndoa zetu hii hali tayari mnawatoto inahitajika hekima na busara ya hali ya juu na uvumilivu mnooNamuona Zari akiwa bilionaire
Nakumbuka ulileta thread ya kuhusu jamaa kuumwa, too sad.Pole nyingi sana kwa familia yake na watoto wake. Msiba unauma sana
Nakumbuka ulileta thread ya kuhusu jamaa kuumwa, too sad.
Pole sana, najua utakuwa umeguswa sana na huu msiba.
RIP SSEMWANGA IVAN bt mwenye kujua historia yake hta kwa ufupi maana jamaa alikua na mchuzi hatari cjui alikua anafanya mishe gani hasa?
Una laana weweKwahiyo mondi alifurahi mtoto kufanana na huyo Marehemu?
Mkuu tushafundishwa ukauzu na mkuu wetu ukidanja wachaChe wasikitike wengine waendelee na job
Msiba usikie kwa jirani tu,unauma kweli.
Yanachoma kama pasi ata ukiwa na ela kiasi gani yaan swala la kufaa aise Mungu ndie ajuayee yaan watoto bADO WADOGO inauma sanaR.I.P Ivan nimekaa nikafikiria wanangu watakua kwenye hali gani wakinipoteza au kupoteza baba yao, hakika ni maumivu yasiyo na mfano
Ni kweli,ila hatuna jinsi Allah ampunguzie adhabu ya kabri, AminYanachoma kama pasi ata ukiwa na ela kiasi gani yaan swala la kufaa aise Mungu ndie ajuayee yaan watoto bADO WADOGO inauma sana