Nasubiri mazishi yake tutajua kutokana na staili ya mazishiNakuelewa cariha lakini kwa Mzee augustino Ramadhani sio case Hiyo!!
Tunapoelekea sasa kila atakayefariki itaonekana ni Corona.
Kweli Corona ni gonjwa la hatari lakini si gonjwa pekee linalohatarisha maisha ya mwanadamu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Hilo ndio swali la uzii na wewe ndio unanipa jibu au na wewe unatoa jibu pasina kuwa na uhakikaNakuelewa cariha lakini kwa Mzee augustino Ramadhani sio case Hiyo!!
Tunapoelekea sasa kila atakayefariki itaonekana ni Corona.
Kweli Corona ni gonjwa la hatari lakini si gonjwa pekee linalohatarisha maisha ya mwanadamu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe kwa ufalme wa mileleInna li Llahi wa Inna Ilayhi rajiun.
Kwani huko china, Marekani, uingereza kwenye vifo maelfu kwa corona Hakuna vifo vya kawaida ??? Endeleeni tu kujificha ficha uzuri wa huu ugonjwa hautuui sisi tu makabwela unapiga hata matajiri na wale misukule wa Lumumba.Nakuelewa cariha lakini kwa Mzee augustino Ramadhani sio case Hiyo!!
Tunapoelekea sasa kila atakayefariki itaonekana ni Corona.
Kweli Corona ni gonjwa la hatari lakini si gonjwa pekee linalohatarisha maisha ya mwanadamu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mgosi huji kuwa siasa ni maisha na kifo kina katisha maisha au???Hahahaaaa......... Umeshaingiza siasa bwashee!
Atafute ukweli ndio jukumu lake na ndio maana watanzania tukamuamini kwa hiyo anapotoa habari za kusadikishwa Basi hafai tena kuaminiwa si ndio Mgosi???Kama kapata habar ikiwa hivyo yeye afanye nn
Nipo nipo mkuu mguu nje mguu ndani kikoronakorona ... Ha ha ha haaaUlipotea mno !
Hapana sijataka kusema chochote ila nimeuliza kwa sababu nataka kujua kilicho chukua uhai wake ni Corona au ni tatizo jingine?
Bahati mbaya umechelewa kuja nilipost maelezo na kuyafuta kwa kuwa niliona nimeenda deep sana...ila elewa mzee haikuwa Corona na ni kweli aliumwa muda mrefu
Hapana Mahali niliposema Corona ni ugonjwa wa kawaida,nikujulishe tu mie naelewa athari zake kuliko unavyowaza maana nishaona jamaa zangu wamedhurika nao...Kwani huko china, Marekani, uingereza kwenye vifo maelfu kwa corona Hakuna vifo vya kawaida ??? Endeleeni tu kujificha ficha uzuri wa huu ugonjwa hautuui sisi tu makabwela unapiga hata matajiri na wale misukule wa Lumumba.
Sent using Jamii Forums mobile app