Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka aseme amefariki kutokana na matatizo ya upumuaji? Huyu ni Mzee wetu tunamheshimu, tumwache apumzike kwa amani na azikwe kwa heshima anayostahili. Bwana alitoa ma Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe
Kwani kufa kwa korona ni aibu?Ulitaka aseme amefariki kutokana na matatizo ya upumuaji? Huyu ni Mzee wetu tunamheshimu, tumwache apumzike kwa amani na azikwe kwa heshima anayostahili. Bwana alitoa ma Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe
Mpaka serikali izinduke kuhusu corona wote tutakuwa tumekwishaTYK
Kwa wale tunaomfahamu wakili Gaudiose Ishengoma, amelala usingizi wa milele. Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu Agha Khan, Dsm alikolazwa kwa tatizo la upumuaji.
Apumzike kwa amani.
Ni Tanzania tu wanaona kufa kwa corona ni aibuWatu wanapukutika
Kwa hiyo unataka kuniambia kuuambia umma ukweli wa sababu za kifo cha mstaafu ni kumvunjia heshima !!!Ulitaka aseme amefariki kutokana na matatizo ya upumuaji? Huyu ni Mzee wetu tunamheshimu, tumwache apumzike kwa amani na azikwe kwa heshima anayostahili. Bwana alitoa ma Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe
Kwa Nini zisiende kwa Millad ... Kwa maana hiyo si muaminifu tena habari zame zina chembe ya uongo wa kushurutishwa
Sasa wewe mwenye kazi ya kufanya, huku unatafuta nini? Sioni tofauti!!
Kosa lake kuudanganya umma wa Watanzania wanao amino habari zake ... ili tuone kakorona no kaugonjwa ambako hakasumbui hali yakuwa kanapukutisha hazina za taifa kama hizoKosa lake nini