TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

Mkuu hapa nadhani mahakama ili ingiliwa
Ukisoma judgement yote utakutana na mashaka kwani alisema
Mgombea binafsi si swala la mahakama Bali ni bunge lenye mamlaka ya kutunga sheria
Akasahau even court could make a judge made lawa (precedent)

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hicho nilichokua nakisema maana Maraga CJ mwenzao huko Kenya alifanya yake sema naona jamaa hapo juu anajitoa ufahamu...
 
Haaahaah basi hakuna shida Mkuu, tuendelee na maombi, kikubwa pumzi! Natafuta shamba tulime bangi hata kwenye greenhouse
Hilo ni zao mhimu sana la biashara. Nenda pale upande wa pili wa Mlima Kilimanjaro, wao wamelipa jina zao hilo "Kilimanjaro....", huku bado wewe unawazo tu?
 
When you test positive to COVID19, just know you're in trouble, coz they will need all contacts including all girlfriends/ and boyfriends, will know which lodge you stayed, who you paid to, who served you food and drinks and when you checked out.

I have never seen a virus that embarrasses people like this one
😂😂
 
Stright to the point hakuna ubishi Millardayo ni brand ya kijana aliejijengea heshima ya uaminifu miongoni mwa watanzania wapenda habari sahihi. Big up Bro!!!

Ila kwa hili sina hakika, lakini endapo taarifa hizi hazina ukweli uliotuaminisha makusudically kupitia taarifa zako hizi basi utakua umelikosea taifa zima na umetusaliti wananchi tunaokuheshimu.

Na moja kwa moja tafsiri yake nikua utakua umedhamiria kutuhadaa kwa kucheza na uhai wetu kazi ambayo hufanywa na NITASHE peke yake ambae alifukuzwa mbinguni kwa utovu wa nidhamu

Baada ya kushushwa duniani hasira zake akawageuka na kuwahadaa walimwengu ili awaangamize kwa lengo la kupata company ya washkaji atakao ungana nao fii Nnari Jahanam!!!

Je ni kweli mstaafu huyu aliugua kwa muda mrefu kabla ya umauti kumkuta???

Je ni kweli bwana yule alikwenda kumjulia hali kwa maana kabla hajaenda kujiaisoleti kule TOCHA ???

Wadau ni kweli mstaafu NACORO ndio iliyo muondoa Duniani???

Je kuficha ukweli sio uuaji huo???

Naomba kueleweshwa juu ya hili swala kwa sababu kama vile naanza kustuka juu ya mengi nyuma ya ukweli halisi ....


Swali Picha:
IMG_20200428_174658_337.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom