ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Tena ma celebrity...Kila siku vifo vipya ee Mwenyezi Mungu Tuhurumie wana Wako, tunaangamia na kuangamizwa kwa kukosa maarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ma celebrity...Kila siku vifo vipya ee Mwenyezi Mungu Tuhurumie wana Wako, tunaangamia na kuangamizwa kwa kukosa maarifa
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, lakini bado umenichanganya.The legal fraternity has lost five of it's very own in 24 hours
Augustino Ramadhani CJ RTD
Ali Haji Pandu CJ Zanzibar RTD
Alhaji Musa Kwikima AG J RTD
Evod Herman Mmanda
Gaudiosius Ishengoma
Mpwa wangu soma taratibu kabisa taarifa inajitoshelezaAhsante kwa ufafanuzi mkuu, lakini bado umenichanganya.
Huyu Gaudiosius Ishengoma, na yeye kaaga dunia leo hii hapo hapo Agha Khan hospitali?
Heeeh, wait a minute; "lost five of it's very own i 24 hours"? Are you kidding!
Na hakuwa mkatolikiSiyo pastor, askofu wa catolic church Kama sikosei
Tulikwenda vizuri 'Elli' hadi uliponipachika 'Upwa', ukadondoka ..., hiyo moja.Mpwa wangu soma taratibu kabisa taarifa inajitosheleza
Good umemsahihisha kwa ufasahaNa hakuwa mkatoliki
Huyu alikuwa ni muanglikana
Alikuwa anaabudu na kupiga kinanda pale st Alban posta mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, lakini bado umenichanganya.
Huyu Gaudiosius Ishengoma, na yeye kaaga dunia leo hii hapo hapo Agha Khan hospitali?
Heeeh, wait a minute; "lost five of it's very own i 24 hours"? Are you kidding!
Mkuu hapa nadhani mahakama ili ingiliwaUnazungumzia mtikila ipi One au Two? Mimi nazungumzia ile ambayo Kabudi alikua amicus curiae...sema wapi nilipodanganya maana kwenye hio mtikila II huyu bwana alivijua mamlaka ya kimahakama na kusema swala hili liende bungeni likatatuliwe kisiasa kitu ambacho hakikuulizwa kabisa...
Siyo pastor, askofu wa catolic church Kama sikosei
Haaahaah basi hakuna shida Mkuu, tuendelee na maombi, kikubwa pumzi! Natafuta shamba tulime bangi hata kwenye greenhouseTulikwenda vizuri 'Elli' hadi uliponipachika 'Upwa', ukadondoka ..., hiyo moja.
Hiyo taarifa ulivyoiwasilisha haiwezi kujitosheleza kwa njia yoyote..., hilo la pili.
Lakini kama hutaki kutosheleza, yaishie hapo, kwa sababu huu unaweza kuwa mwanzo wa mzozo. ..., hilo la tatu.
May their soul rest in peace our fellow senior learned brothersThe legal fraternity has lost five of it's very own in 24 hours
Augustino Ramadhani CJ RTD
Ali Haji Pandu CJ Zanzibar RTD
Alhaji Musa Kwikima AG J RTD
Evod Herman Mmanda
Gaudiosius Ishengoma
YawezekanaKautafiti kangu naona kama vile watu watumiao AC kwa muda mrefu wapo kwenye hatari zaidi, basi tuchukue tahadhari maradufu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani itakua alipatwa na changamoto ya upumuajiApumzike kwa amani.
Chanzo cha kifo
Friends of court wawili tu jamaa? Wanaweza vipi shinda full bench mzee? HahahaMarafiki wa mahakama waliwazidi uzito Jopo la jaji Ramadhani. That's it. Sheria is about justice and fairness, kama haujui. Siyo mambo ya mimi ni baba kichwa cha nyumba lazima niamue nitakavyo.