Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani Kiongozi ukifikiria unaweza kuacha kufanya kila kitu ukabaki tu unakisubiri.Kila mwenye kutimiza kusudi la kuwepo Duniani, hureje Kwa yeye aliyemleta kutimiza kusudi Hilo
Tuliumbwa Kwa udongo na udongoni tutarejea,. RIP Jaji Agustino
Ama hakika, Duniani tunapita, Poleni Sana wafiwa
pole sana Watanzania wote , Mzee Mwenzangu huyu, yaliyopita tusamehe tu, waliopo hai ndio tuwadai haki zetu, mmenielewa, akina FELESHI.Retired Chief Justice AUGUSTINO RAMADHANI of TANZANIA has passed on at AGA KHAN Hospital Dar es Salaam a few minutes ago. I will keep you updated.
Ibrahim H. JUMA
Chief Justice TANZANIA
Mtakatifu Bathlomayo Ubungo😊
Sasa nakuuliza mtikila 2 nani alie preside over? Na kutoa uamuzi friends of court uamuzi wao hauwezi kumbind jaji atoe uamuzi fulani kwaio huwezi kusema friends of court ndo walioamua wakati wao walikua wanatoa ushauri alieamua ni huyu jamaa aliefariki huku akiwa na kadi ya CCM mfukoni..Mtikila 1 - Ni Jaji Lugakingira (RIP) na wenzie. Mtikila 2 part 2 - ni marafiki wa mahakama - Kabudi na wenzie ndio walioamua kuwa mahakama haiwezi kubadili sheria iliyopitishwa na Bunge. Mtikila 2 part 1 haikuwa na marafiki wa mahakama. Jaji Ramadhani na jopo lake wakampa Mtikila ushindi. Serikali ikaenda Bungeni kutunga/kubadili sheria ili hukumu ya Ramadhani na wenzie ishindwe kufanya kazi. Kabudi na wenzie wakasema kuwa kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria siyo kubadili. Na kuanzia hapo kabudi akaanza kupanda kisiasa. The rest is history. Bado nasema: acha uongo.
Sasa nakuuliza mtikila 2 nani alie preside over? Na kutoa uamuzi friends of court uamuzi wao hauwezi kumbind jaji atoe uamuzi fulani kwaio huwezi kusema friends of court ndo walioamua wakati wao walikua wanatoa ushauri alieamua ni huyu jamaa aliefariki huku akiwa na kadi ya CCM mfukoni..
Hajielewi kuna Jaji Lubuva na Jaji Augustino Ramadhani huyu anadhani Jaji ni mmoja tuu TanzaniaAcha kumpakazia marehemu huenda ni wewe tu huna kumbukumbu nzuri juu ya hicho ulichokiandika.
Bila shaka tunafahamiana vyema!!Mtakatifu Bathlomayo Ubungo[emoji4]
No way lazima tunafahamiana tuMtakatifu Bathlomayo Ubungo[emoji4]
Alifahamika pia kwa jina hili, au!Kwa wale tunaomfahamu wakili Gaudiose Ishengoma,
The legal fraternity has lost five of it's very own in 24 hoursAlifahamika pia kwa jina hili, au!