TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

Nali, Mkuu kweli ni masikitiko makubwa sana kwetu sote. Ila kuna Jamaa yuko likizo akizisikia hizi taarifa atajiongezea muda wa likizo. Ila akumbuke pia kuwa vifo viko kila mahali hata huko aliko vinaweza kufikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP JAJI, ILA UYU SI NDIYE YULE ALICHAKACHUA KURA ZETU KUIPENDELEA CCM??
RIP BAHARIA
HAPANA, hakua kwenye tume ya uchaguzi, alikua ameisha staafu. Labda tu ile kesi ya mgombea HURU asiyekua na chama, baada ya kujadiri bungeni, suala hilo lililetwa mahakamni, hapo sasa ndio walipochakachua yale maamuzi yalioamuliwaga na mahakama miongo kadhaa iliopita.
 
Jaji mkuu mstaafu ndg Agustino Ramadhani amefariki dunia leo katika hospital ya Agha Khan

Chanzo ITV
 
Lakini pia kumbuka corona kills those with pre-existing conditions - high blood pressure, heart disease, asthma, cancer, prostate etc very easily. Ndio ukweli huo. Kama una ugonjwa mwingine kwa corona ni kama kumsukuma mlevi. Ndivyo ilivyo USA, Italy, China, Spain, UK... Na ndio maana inaua watu wazima sana kuliko vijana. Kama hauelewi, elewa sasa.
Hajafa kwa Corona tuache kukariri..

Jaji alikuwa na tatizo la Prostate na ameumwa kwa muda mrefu takribani miaka miwili sasa


Tusipotoshe habari tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pale serikali inaposhindwa kulinda watu wake.

Covid 19 is mess
 
Back
Top Bottom