kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Duuu niukumbuka huu wimbo!Tujiangalieee, tuko pabaya leo kuliko janaaa
Sikio la kufa halisikii dawaaa, tuko kwa twitter tunajibizanaaa.
Pumzika kwa amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu niukumbuka huu wimbo!Tujiangalieee, tuko pabaya leo kuliko janaaa
Sikio la kufa halisikii dawaaa, tuko kwa twitter tunajibizanaaa.
Pumzika kwa amani
Kuwa na subra tutajua watakapotangaza idadi ya watakaoruhusiwa kuhudhuria mazishi na atakaye husika kuhifadhi mwili wa Marehemu katika nyumba yake ya mileleApumzike kwa amani.
Chanzo cha kifo
Kweli wewe ni Mjinga! Mtu huwa anasemwa amefariki, wanaokufa ni wanyama!
Kama una matatizo ya kupumua coonaaTatizo la kupumua kama kawaida??
Kama una matatizo ya kupumua coonaaTatizo la kupumua kama kawaida??
Daa siyo mchezo mkuu.Jamaa alikuwa ni Brigedia Jenerali, Jaji na Pastor pia!!
Mbona tuko mjini mkuu? Au uliwalenga kina nani hasa au ni wale waliojipa likizo za Pasaka na hadi sasa bado hawajarudi maofisini??Mmalize Likizo mje mjini tusaidiane kwa pamoja Aiseeee. Tusikimbiane
HAPANA, hakua kwenye tume ya uchaguzi, alikua ameisha staafu. Labda tu ile kesi ya mgombea HURU asiyekua na chama, baada ya kujadiri bungeni, suala hilo lililetwa mahakamni, hapo sasa ndio walipochakachua yale maamuzi yalioamuliwaga na mahakama miongo kadhaa iliopita.RIP JAJI, ILA UYU SI NDIYE YULE ALICHAKACHUA KURA ZETU KUIPENDELEA CCM??
RIP BAHARIA
Aisee corona itamaliza watu hivi hivi,imagin hao vigogo ndo wanatangazwa vipi hao dagaa,si wanazikwa kama nzige
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajafa kwa Corona tuache kukariri..
Jaji alikuwa na tatizo la Prostate na ameumwa kwa muda mrefu takribani miaka miwili sasa
Tusipotoshe habari tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
AnglicanSiyo pastor,askofu wa catolic church Kama sikosei
Ni wa kwetu AnglicanSiyo pastor,askofu wa catolic church Kama sikosei
Sasa naanza kuelewa,Muanglican mwenzangu basi tuNi wa kwetu Anglican