figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
ARE YOU SERIOUS RIGHT NOW?Pole sana kwa Vicent Kazimoto tulimaliza nae Mwakaleli high school 1995
Sent from my iPhone using JamiiForums
View attachment 1361233
Jaji Mstaafu Elias E. Kazimoto wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefariki leo Februari 17, 2020 katika Hospital ya St.Bernard Dar es Salaam.
Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji wa Mahakama kuu mwaka 1986 aliwahi kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 1978 mpaka 1985