Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

Mkuu,
Pole sana, yote ya mwenyezi mungu. Tunakuombea mungu akutie nguvu na ustahamilivu kwa wakati huu mgumu sana.
 
Pole sana kaka mwenyezi Mungu akutie nguvu na faraja ya pekee katika kipindi hiki kigumu..
 
Poleni sana, Mungu awape nguvu na faraja wakati huu mgumu wenye majonzi.
 
Nipo Msibani hapa Tegeta Namanga. Kwa sasa misa inaendelea kisha heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu. Baada ya hapa msafara wenye mwili wa marehemu utaelekea katika makaburi ya kinondoni kwa ajili ya kuhfadhi mwili huo.
 
Pole Kaka Kiiza, MUNGU alimpenda kuliko sisi
 
Nipo Msibani hapa Tegeta Namanga. Kwa sasa misa inaendelea kisha heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu. Baada ya hapa msafara wenye mwili wa marehemu utaelekea katika makaburi ya kinondoni kwa ajili ya kuhfadhi mwili huo.

Your so great Nicas may god bless you
Endelea kumpa faraja Kakakiiza na mungu aendelee kumpa nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe
Amen
 
Pole sana KakaKiiza, na asante Kiresua kwa taarifa
 
Your so great Nicas may god bless you
Endelea kumpa faraja Kakakiiza na mungu aendelee kumpa nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe
Amen

Amen First Lady. Kwa sasa ndio tumefika hapa kwenye Makabur ya Kinondoni kwa ajili ya kuhfadh mwili wa shemeji yetu Mrs Kiiza.
 
Tunashukuru kwa uwakilishi, Mungu akubariki sana. mpe salamu zetu pia KakaKiiza pamoja na watoto wake, tunawaombea Mungu awape faraja.
 
pa1 sana kaka. Salamu zimefika. Bwana Mtambuzi naye tulikuwa naye eneo la tukio.
 
Pole sana KakaKiiza,
Mungu ailaze roho ya mke wako mpenzi mahali pema peponi.
 
pa1 sana kaka. Salamu zimefika. Bwana Mtambuzi naye tulikuwa naye eneo la tukio.
jamani kaka Nicas, mimi dada.
once again, Asante sana kwa uwakilishi, naamini atakuwa amefarijika sana kuwaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…