Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

Inna Li Llahi wa Inna Illahi Rajiun.

Pole sana, ni pigo kubwa kuondokewa na mshirika wa maisha yako, jikaze kiume.
 
Kwa sasa naomba ni washukuru sana kwa support yenu mliyonipa ila kwa sasa sina chakuwambia kwani sija tulia nikiwa nimetulia nitatoa shukurani zangu za dhati kwenu wote!!Mungu awape uwezo zaidi ya hapo na hekima zaidi!
Ameen...
 
Pole sana Kakakiiza Mwenyez MUNGU akutie nguvu kwenye wakati huu mgumu
 
Pole sana kaka kwa msiba mzito. M.A.P(MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI) shemeji kipenzi
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe
Pole sana kaka yetu.
Poleni sana Ndugu jamaa na marafiki zetu kwa pigo kubwa namna hii.
 
Pole sana kaka..Mungu akupe faraja wewe na familia yote.
 
Kwa sasa naomba ni washukuru sana kwa support yenu mliyonipa ila kwa sasa sina chakuwambia kwani sija tulia nikiwa nimetulia nitatoa shukurani zangu za dhati kwenu wote!!Mungu awape uwezo zaidi ya hapo na hekima zaidi!

Pa1 sana Mkuu
 
Still happening in TZ. Vifo wakati wa Ujauzito!!
Pole sana kaka, Mungu akupe nguvu za kuvuka kipindi hiki kigumu sana!
Pamoja.
 
Kwa sasa naomba ni washukuru sana kwa support yenu mliyonipa ila kwa sasa sina chakuwambia kwani sija tulia nikiwa nimetulia nitatoa shukurani zangu za dhati kwenu wote!!Mungu awape uwezo zaidi ya hapo na hekima zaidi!
KK pole sana Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu. Mungu awe nawe
 
Gosh! yaelekea alikuwa bado mdogo akiwa na ndoto nyingi na nzuri za kuwa na familia .... what can we say, tunatoa pole za dhati kwa mume, ndugu jamaa na marafiki wa fmilia, kakakiiza Mungu akupe faraja ya kwelia na kutie nguvu katika kuyabeba majukumu ya malezi ya familia peke yako. May her soul rest in eternal peace AMIN
 
Wana Bodi,

Nasikitika sana kuwapa taarifa za msiba wa Mke wake na Kaka Kiiza, kilichotokea sasa hivi. Nimepata ujumbe wake kwa njia ya sms juu ya taarifa hizi za kusikitisha.

Naungana na ndugu na jamaa wa ndugu yetu katika maombolezo ya msiba huu mkubwa.

Kaka Kiiza, Asured kwamba mawazo yetu na sala zetu yapo na nawe katika kipindi hiki chote cha msiba! Jipe Moyo Mkuu kwa kuwa kazi ya Mungu haina makosa hata kidogo...

Binafsi sikupata details zaidi!! nitakapopata nitaziweeka hapa

Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Libarikiwe!

Kwa wale watakao weza kuhudhuria msiba safadhali tukamtie mwenzetu Moyo!

Kiresua

More info!!

Mwasiliano na Kaka Kiiza ni 0752 30 78 78

Mama Kiiza amefikwa na mauti kwa sababu za ujauzito!

Updates...

Wapendwa Leo heshima za mwisho zitatolewa Tegeta Namanga saa 7-8Mchna na baada ya hapo msafara utaanza kuelekea Makaburini kinondoni,makaburi ya karibu na Hananasif!Mwembeni karibu na njia ya kwenda leaders club!

pole sana mkuu Mwenyezi Mungu akutie nguvu.
 
Pole sana Mkuu KakaKiiza kwa pengo kubwa ulilolipata maishani mwako. Mungu ndie mfariji pekee
 
Back
Top Bottom