Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
jamani kaka Nicas, mimi dada.
once again, Asante sana kwa uwakilishi, naamini atakuwa amefarijika sana kuwaona
pa1 sana kaka. Salamu zimefika. Bwana Mtambuzi naye tulikuwa naye eneo la tukio.
Ameen...Kwa sasa naomba ni washukuru sana kwa support yenu mliyonipa ila kwa sasa sina chakuwambia kwani sija tulia nikiwa nimetulia nitatoa shukurani zangu za dhati kwenu wote!!Mungu awape uwezo zaidi ya hapo na hekima zaidi!
Kwa sasa naomba ni washukuru sana kwa support yenu mliyonipa ila kwa sasa sina chakuwambia kwani sija tulia nikiwa nimetulia nitatoa shukurani zangu za dhati kwenu wote!!Mungu awape uwezo zaidi ya hapo na hekima zaidi!
Naona ulinitoroka mkuu.......LOL
KK pole sana Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu. Mungu awe naweKwa sasa naomba ni washukuru sana kwa support yenu mliyonipa ila kwa sasa sina chakuwambia kwani sija tulia nikiwa nimetulia nitatoa shukurani zangu za dhati kwenu wote!!Mungu awape uwezo zaidi ya hapo na hekima zaidi!
Wana Bodi,
Nasikitika sana kuwapa taarifa za msiba wa Mke wake na Kaka Kiiza, kilichotokea sasa hivi. Nimepata ujumbe wake kwa njia ya sms juu ya taarifa hizi za kusikitisha.
Naungana na ndugu na jamaa wa ndugu yetu katika maombolezo ya msiba huu mkubwa.
Kaka Kiiza, Asured kwamba mawazo yetu na sala zetu yapo na nawe katika kipindi hiki chote cha msiba! Jipe Moyo Mkuu kwa kuwa kazi ya Mungu haina makosa hata kidogo...
Binafsi sikupata details zaidi!! nitakapopata nitaziweeka hapa
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Libarikiwe!
Kwa wale watakao weza kuhudhuria msiba safadhali tukamtie mwenzetu Moyo!
Kiresua
More info!!
Mwasiliano na Kaka Kiiza ni 0752 30 78 78
Mama Kiiza amefikwa na mauti kwa sababu za ujauzito!
Updates...
Wapendwa Leo heshima za mwisho zitatolewa Tegeta Namanga saa 7-8Mchna na baada ya hapo msafara utaanza kuelekea Makaburini kinondoni,makaburi ya karibu na Hananasif!Mwembeni karibu na njia ya kwenda leaders club!