Kwangu mimi Hizi ni habari Mbaya zaidi katika Ijumaa hii na mwezi huu!
Mungu mfariji Kakakiiza kwa jinsi ya fahamu zako.
Roho ya marehemu ilalepema peponi!
Ni pigomkubwa kwa namna yoyote ile, lakini Mungu anakupa majaribu akiamini kuwa una nguvuza kukabiliana nayo. Naamini sisi sote hapa JF tutazidisha maombi yetu ili mwenzetu ajaaliwe nguvu za kimwili na kiroho kukabiliana na pigohili. Pole sana KakaKiiza