Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!


Oh God, I do not like even to think such kind of tragedy.

Kaka Kiza,
Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako,
Mungu akuvushe na kukufariji kwa faraja yake kuu ambayo hapana mwingine wezaye kuitoa. AMIN!
 
Pole sana KakaKiiza,
Mwenyezi Mungu akupe nguvu unayohitaji.

Pole sana!
 
pole sana kaka. mungu akupe nguvu na subira katika kipindi hiki kigumu.
 
Inaogopesha na kusikitisha sana jinsi wamama wanavyopoteza maisha wakiwa wajawazito au wakati wa kujifungua. Pole Sana Kaka Kiiza, Mungu wetu akujaze nguvu na uvumilivu katika kipindi hichi kigumu. Mungu amlaze marehemu mahala pema pemoni.....Amina!
 
So sad pole sana kaka Kiza
Mungu akupe uvumilivu!
 
Pole sana KakaKiiza .....

Bwana ametoa

Bwana ametwaa

Jina la bwana lihimidiwe.............

RIP dada mpendwa!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana KakaKiiza Mungu akutie nguvu, may her soul RIP
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana kwa msiba huu mzito KakaKiiza pamoja na familia. Mwenyezi Mungu akupeni nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
Marehemu apumzike kwa amani. Amen.
 
KakaKiiza Pole sana mkuu, tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu cha msiba mzito ulikupata...............
 
Last edited by a moderator:
Ple sana Kaka kiiza, Mungu aliemrehemu wa kweli tunamuomba akupe FARAJA yake ya Kweli

Mungu akutangulie ktk kila hatua ktk kipindi hiki kigumu

Pole sana
 
Pole sana Mkuu, M/MUNGU akupe subira katika kipindi hiki kigumu. Tuko pamoja.
 
Pole sana,sana,sana Kaka.RIP Shem,RIP Mtoto wetu tuliyekutarajia.
 
Pole sana kakakiiza, Mungu wa faraja akutie nguvu. Tunakuombea na tuko pamoja nawe katika kipindi hiki kigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…