Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

Mungu amlaze mahala pema peponi shemeji yetu..Pole sana KakaKiiza
 
Our ddeepest condolences to KakaKiiza and his family. Mola awape subira katika kipindi hiki cha majonzi, sie wote ni wake Mola na hakika kwake tutarejea.
 
Last edited by a moderator:
pole bro,na MUNGU akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
pole sana mkuu....huu ni msiba mzito....Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki......
 
R.I.P mama Kiiza, na pole sana mkuu.
 
Rest In Peace Mama Kiiza and may God help Kiiza family members through this difficult time. :A S cry:
 
Pole sana kakakiiza! You shall overcome. R.i.p. Shemeji.
 
pole sana Kaka Kiiza, kwa kufiwa na mkewako kipenzi.[b/]
 
Last edited by a moderator:
pole sana Kaka Kiiza, kwa kufiwa na mkewako kipenzi.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Ndugu!
Mungu akujalie moyo wa UVUMILIVU katika kipindi hiki cha UPWEKE na MAJONZI.
 
pole mkuu Mungu akupe nguvu na umilivu wakati huu mgumu.!
 
Back
Top Bottom