Mwanamuziki Mkongwe na gwiji wa muziki katika miondoko ya Country, Mmarekani Kenny Rogers amefariki usiku wa kuamkia leo huko Sandy Springs, Georgia, Marekani
Familia yake imesema Rogers aliyekuwa Mwandishi wa Nyimbo, Muigizaji, Muimbaji na 'Producer' amefariki kwa amani akiwa nchi ya Uangalizi wa Muuguzi huku akiwa amezungukwa na familia yake
Rogers, alitamba kwa nyimbo zake nyingi zikiwemo The Gambler, Lady, Islands in the Stream na Lucille, huku akiwa ameuza rejodi zaidi ya Milioni na kushinda tuzo 3 za Grammy
Kama muigizaji ametokea kwenye filamu ya Six Pack mwaka 1982 na katika tamthilia kadhaa maarufu za runinga kama The Gambler, Christmas in America na Coward of the County
=====
Country music star Kenny Rogers died Friday night in Sandy Springs, Georgia. He was 81.
According to a statement posted by his family on Twitter, the singer, songwriter, actor and producer passed away at 10:25PM “peacefully at home from natural causes under the care of hospice and surrounded by his family.”
Rogers, known for such hits as “The Gambler,” “Lady,” “Islands in the Stream,” and “Lucille, sold millions of records and won three Grammys during his decades-long career.
As an actor, he starred in the 1982 movie
Six Pack and a number of popular TV movies such as
The Gambler franchise,
Christmas in America, and
Coward of the County, al
l based on hit songs of his. He also served as host & narrator for the A&E historical series
The Real West.