TANZIA: Kenny Rogers Mwanamuziki mkongwe, gwiji wa miziki ya Country, afariki

Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Apumzike Kwa Amani Anapostahiri
Vibao Vyake Ni Vingi Sana
Crazy
We Are The Same
 
Dah! R.I.P Kenny Rogers
 
Ni mpenzi wa nyimbo zake. The legend is gone.
 
Hauja acha neno lolote kwamba corona imehusika. Maana umri una ruhusu kabisa.
 
Nimepata shock ya hii habari. Nilikuwa napenda Sana huyu Mzee na nyimbo zake za Country. Daaaaah Maisha mafupi Sana hapa duniani. Nakumbuka Wimbo wa Lucille( you pick fine time to leave me Lucille, crops in the field.....), You don't need fight to be a Man. Say Hello to Don Williams Sir. RIP Kenny.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…