TANZIA: Kenny Rogers Mwanamuziki mkongwe, gwiji wa miziki ya Country, afariki

R.I.P

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Umeniletea raha sana duniani kwa nyimbo zako RIP Kenny
 
Dahhh sikuwahi kusikia hata nyimbo yake 1 wala kumjua hadi leo hii, RIP KENNY
 
R.I.P Kenny ..,kwa maana kila mtu mwenye pua ilio chin bas wote kitatukuta hiii... ..:
 
Pia kuna Mwanamuziki Mkongwe wa hapa nyumbani amefariki tarehe 19-March, huko kwao Morogoro, anaitwa Lazaro Bonzo. Alipigia bendi kongwe ya Kurugenzi jazz ya Arusha iliyotamba miaka kadhaa nyuma.

Bonzo brothers walikuwa watatu kwenye hii bendi (kama sikosei), na nadhani Lazaro anakmilisha list yao waliotangulia mbele ya haki.

Kurugenzi ndio bendi iliyoibeba Arusha tangu miaka ya themanini mwanzoni, Wanamuziki wakubwa wamepitia hapa....akiwemo Jabali la Muziki Marijani Rajabu.

Pumziko La Amani Apate Mwendazake.

HATA KAMA SIO MPENZI WA MUZIKI WA BONGO WA 70's kwenda 80's BASI WALAU CLICK HAPA KUANZIA DK 4:19 USIKILIZE VYOMBO VINAVYOTENDEWA HAKI, NDIO UJUE BONGO FLEVA WANAFANYA UTANI KWENYE MUZIKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…