TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Jun 8, 2016 #21 [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] RIP
Rweye JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,057 Reaction score 7,611 Jun 8, 2016 #22 Pole sana kwa wanasoka Afrika nzima. Poleni kwa Nigeria na super eagles, my most favourite team
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Jun 8, 2016 #23 r.i.p keshi
Elijah O JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 1,118 Reaction score 916 Jun 8, 2016 #24 Huzuni sana kwa wanasoka Afrika.R.I.P kesh Jamaa alikua na muono mkubwa katika soka fikiri amechukua Kombe la Afrika mwaka 1994,kama mchezaji kisha miaka ya karibuni kachukua tena Kombe kama kocha .
Huzuni sana kwa wanasoka Afrika.R.I.P kesh Jamaa alikua na muono mkubwa katika soka fikiri amechukua Kombe la Afrika mwaka 1994,kama mchezaji kisha miaka ya karibuni kachukua tena Kombe kama kocha .
Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 Jun 8, 2016 #25 R.I.P Stephen keshi?
P Pope leo x JF-Expert Member Joined May 11, 2016 Posts 264 Reaction score 143 Jun 9, 2016 #26 Pole sana jamani ila kuna ubaguzi mkubwa sana Mnamkubuka Rashidi Yekini alipokufa wanaigeria hawakumpa heshima yake kubwa
Pole sana jamani ila kuna ubaguzi mkubwa sana Mnamkubuka Rashidi Yekini alipokufa wanaigeria hawakumpa heshima yake kubwa