TANZIA: Kocha na mchezaji wa zamani wa Nigeria Stephen Keshi afariki ghafla

TANZIA: Kocha na mchezaji wa zamani wa Nigeria Stephen Keshi afariki ghafla

[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] RIP
 
Pole sana kwa wanasoka Afrika nzima. Poleni kwa Nigeria na super eagles, my most favourite team
 
Huzuni sana kwa wanasoka Afrika.R.I.P kesh Jamaa alikua na muono mkubwa katika soka fikiri amechukua Kombe la Afrika mwaka 1994,kama mchezaji kisha miaka ya karibuni kachukua tena Kombe kama kocha .
 
Pole sana jamani ila kuna ubaguzi mkubwa sana Mnamkubuka Rashidi Yekini alipokufa wanaigeria hawakumpa heshima yake kubwa
 
Back
Top Bottom