TANZIA: Kwa wapenzi wa Rock Music Chester amefariki dunia

TANZIA: Kwa wapenzi wa Rock Music Chester amefariki dunia

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
4,990
Reaction score
4,259
Kwa wale wapenzi wa muziki wa Rock hatunae tena key player wa band ya Linkin Park Chester Bennington aliyefariki jana tarehe 20 kwa kujinyonga nyumbani kwake huko Palos verdes estate Los Angels, kwa mujibu wa mtando wa TMZ wanasema kuwa hakuacha ujumbe wowote wa kwanini aliamua kuchukua uamuzi huo. Lakini pia wame husisha kifo chake kufanana na kifo cha rafiki yake wakaribu Chris Cornell ambaye pia alijinyonga mwezi watano mwaka huu.

Kwa wasio wajua Linkin Park walisha fanya tour na Jayz kufanya remix baadhi ya nyimbo za ikiwemo 99 problems ya Jayz,dirty of your shoulder pamoja na nyimbo za band hiyo zikiwemo encore au numb,faint n.k,pia linkin park walisha fanya nyimbo na buster rhythms.

chester 1.jpg

Linkin_Park-Rock_im_Park_2014-_by_2eight_3SC0327.jpg
 
Eh eh sijui kwann hawa wasanii wanaohushwa na Freemason huwa wanaishia vivo vya hivi...RIPCHESTER

Sent using Jamii Forums mobile app
sijui kwanini ndugu yangu utadhani huwa kuna maagano fulani huwa wanafanya,maana wanakuwa watu wa pmbe sana na madawa but most of them wanakuwa very kind and humble wanajitoa sana kwa jamii
 
nilimkubali kwenye Encore ya jay z na numb..r.i.p
jamaa alikuwa talented sana ukitaka kuenjoy zaidi tazama live show zake sidhani kama ukitoka hapo utatamani kusikiliza ngoma zetu hizi zakusample sauti
 
Jamaa alikaza sana kwenye kiitikio "iiiiii become so nuuuuumbbbb'
 
Linking park my fav rock and metal band,... R. I. P Chester nasikia alikua Ana struggle na child abuse,...

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom