INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,259
Kwa wale wapenzi wa muziki wa Rock hatunae tena key player wa band ya Linkin Park Chester Bennington aliyefariki jana tarehe 20 kwa kujinyonga nyumbani kwake huko Palos verdes estate Los Angels, kwa mujibu wa mtando wa TMZ wanasema kuwa hakuacha ujumbe wowote wa kwanini aliamua kuchukua uamuzi huo. Lakini pia wame husisha kifo chake kufanana na kifo cha rafiki yake wakaribu Chris Cornell ambaye pia alijinyonga mwezi watano mwaka huu.
Kwa wasio wajua Linkin Park walisha fanya tour na Jayz kufanya remix baadhi ya nyimbo za ikiwemo 99 problems ya Jayz,dirty of your shoulder pamoja na nyimbo za band hiyo zikiwemo encore au numb,faint n.k,pia linkin park walisha fanya nyimbo na buster rhythms.