TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
Prof. Mbunda amefariki leo baada ya kuugua ghafla na kukimbizwa Hospitali

Adjustments.JPG
 
Napendekeza kuanzia sasa kwenda mbele kuwepo na jukwaa la matangazo ya vifo.

Kila utokeapo msiba, hata kama ni wa kijijini kwenu au wa jirani yako, taarifa zake zinawekwa huko.

Na atayetaka kujua leo kafa nani na kafia wapi, anaenda huko kwenye jukwaa la matangazo ya vifo.

Maxence Melo
 
Alikua anatekeleza wito wa kuchapa kazi!
 
  • Thanks
Reactions: ibn
Napendekeza kuanzia sasa kwenda mbele kuwepo na jukwaa la matangazo ya vifo.

Kila utokeapo msiba, hata kama ni wa kijijini kwenu au wa jirani yako, taarifa zake zinawekwa huko.

Maxence Melo
Ni kweli Kiongozi itasaidia kuondoa taharuki,kwani kutokuwepo kwa jakwaa lake kunachangia wanachangiaji kudhani /kuhisi vifo hivyo vinasababishwa na CVD19.

Ni vyema pia kama itafaa Tanzia ziwekwe kwenye Jukwaa la Afya c/o Magonjwa na Vifo vya binadamu /Majanga /Ajali /Watu na Makazi /Takwimu za Vizazi na vifo/

Au jukwaa la Uchumi c/o Uchumi na Maendeleo ya Watu wa Dunia.
 
Kuna mdau mmoja alileta mada ya msingi hapa jukwaan kuhusu vifo hasa vya watu wazito. Hivi vifo nimejaribu kufanya uchunguzi nimegundua watu wengi wana matatizo ya kiafya. Na kuna uwezekano wa kupata vifo vingi kutokana na watu kutokwenda India south Africa na ulaya walikokuwa wamezoea kwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mzee alikua poa sana, ndio nilimtaja kwenye Uzi Fulani ulikua unazungumzia Walimu ambao huwezi kuwasahau Chuo! Miaka ile alikua UDSM sifa yake ilikua ni kuchomekea
 
Back
Top Bottom