Mkuu ubarikiwe sana. Ahsante.Apumzike kwa amani ,Ama kweli kizazi chake kilitoa mwanaume
No love from daddy coz the coward wasn't there.Sehemu ya Dear Mama niipendayo "
"....There's no way I can pay you back
But the plan is to show you that I understand
You are appreciated...."
Rest in peace mama Tupac!
My Support.Niliisoma historia ya huyu mama kiukweli Inasikitisha na wakati mwingine inafurahisha na inakupa moyo namna ya kupambana na magumu unayokumbana nayo na kuwa mwenye shida au uliyepitia shida haupo peke yako.
Rest In Piece.
Walipendana sana pia mpwaYeye na mwanae walifanana sana....
Apumzike kwa amani.
Tofauti NA huku Mpwa sikuhizi ndoa ziko kwa ajili ya kusukuma Sikh motto anazaliwa afanani NA baba wala mama lohYeye na mwanae walifanana sana....
Apumzike kwa amani.
Suge Knight [emoji2] (kidding)R. I. P Mama,
Hivi dingi ake pac ni nani?