Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Wamama wapiganaji kama huyu mama wakifa nasikitika sana.
Mama pumzika kwa amani.
Mama pumzika kwa amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika apumzike kwa amani mama. 2pac was strong man namkubali san huyu kijana na ideas zake.Apumzike kwa amani ,Ama kweli kizazi chake kilitoa mwanaume
Mkaonane Na mwanao sasa kwenye pumziko la milele"A poor single mother on welfare, tell me how you did it"
Rest in Peace, Afeni Shakur
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
".... He passed away and I didn't cry cause my anger wouldn't let me feel for a stranger"...No love from daddy coz the coward wasn't there.
Loh so shakurR. I. P Mama,
Hivi dingi ake pac ni nani?
Swadakta maneno yako jamaa alikuwa akitulia anatoa kitu ila wakiisha mchanganya mambo west side na east side hapo ilikuwa balaa f..f..f... zinakuwa nyingiii".... He passed away and I didn't cry cause my anger wouldn't let me feel for a stranger"...
Haka kasehemu ka wimbo nako huwa kananikosha
Aisee umenikumbusha, hizo f...f...f... zilikuwa ni noma; kuna ule wimbo ambao hizo f's ndio zilikuwa kama kibwagizo😉Swadakta maneno yako jamaa alikuwa akitulia anatoa kitu ila wakiisha mchanganya mambo west side na east side hapo ilikuwa balaa f..f..f... zinakuwa nyingiii
Hit em up sio mchezo hapo alikuwa akiimba hapo unaweza kusema anawaona anao watukana.Aisee umenikumbusha, hizo f...f...f... zilikuwa ni noma; kuna ule wimbo ambao hizo f's ndio zilikuwa kama kibwagizo😉
Unapenda matusi....?!Hit em up sio mchezo hapo alikuwa akiimba hapo unaweza kusema anawaona anao watukana.
Ukifuatilia tulicho kuwa tunajadili na ndugu yangu merciful utaelewa.Unapenda matusi....?!