Msanii wa bongo flevaSaidi Mustafa maarufu kama Side Boy "Mnyamwezi" amefarik mchana wa leo akiwa hospital ya St Walburg "Nyangao-Lindi"
msanii huyo ameimba nyimbo kama Hujafa Hujaumbika aliomshirikisha Best Nasso na Usimdharau Usiyemjua" Amemshirikisha Ney wa Mitego.
R.I.p Side Boy
R.I.P Side boy.. huyu ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo zenye ujumbe kama vile kumwombea mama mjamzito kabla ya kujifungua.. wengi sio rahisi kumjua kwa sababu mnabambikia nyimbo za MAPENZI TU.. POLENI SANA.