babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Mchekeshaji wa cheka tu alikuwa yupo vizuri clip zake zinachekesha sana hasa ile ya wanaume wenye gari za istR.I.P Mdada alikuwa anaigiza wapi huyu?
Ndicho ulichokiona tu?Alikua na mguu mzuri sana
Aliiona safari yake. Itoshe kusem RIP
..na Bibi Kiroboto.Apumzike kwa amani. mie namjuaga Joti na wale akina Senga tu kumbe wachekeshaji ni wengi hivi!!