Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Pumzika kwa Amani comradeAliyekuwa Mlinzi wa Klabu ya Polisi Tanzania , Mtibwa Sugar Iddi Moby Mfaume amefariki huku chanzo cha kifo chake kikialifiwa kuwa
“Iddi Moby amedondoka tu Gafla wakati anakimbia Barabarani “Road Work “[emoji22] na ndio kilichopelekea kifo Chake .”
Rest In Peace Champs
View attachment 2538317
mkuu hii taarifa unaitoa ukiwa mochwari chumba cha uchunguzi ama ule ujuaji wa kitanzaniaMatumizi ya Energy drinks yaeupukwe. Hii kitu ni mbaya sana.
Kitanzania tumkuu hii taarifa unaitoa ukiwa mochwari chumba cha uchunguzi ama ule ujuaji wa kitanzania
hapo sawaKitanzania tu
YAliyekuwa Mlinzi wa Klabu ya Polisi Tanzania , Mtibwa Sugar Iddi Moby Mfaume amefariki huku chanzo cha kifo chake kikialifiwa kuwa
“Iddi Moby amedondoka tu Gafla wakati anakimbia Barabarani “Road Work “😢 na ndio kilichopelekea kifo Chake .”
Rest In Peace Champs
View attachment 2538317
Kadondoka Mazoezini wakati wakijiandaa na mchezo wao na KMC jijini dodomamkuu hii taarifa unaitoa ukiwa mochwari chumba cha uchunguzi ama ule ujuaji wa kitanzania
Inawezekana sio energy drinks zilizosababisha kifo chake lakini energy drinks zinasababisha cardiac arrest pamoja na heart attacks huo ndio ukweli tafiti zinasema hivyo.Matumizi ya Energy drinks yaeupukwe. Hii kitu ni mbaya sana.