TANZIA. Mchezaji NBC Afariki Gafla

TANZIA. Mchezaji NBC Afariki Gafla

Innaa milkullah yataswarrafu fiinaa kayfa yashaau
Aliyekuwa Mlinzi wa Klabu ya Polisi Tanzania , Mtibwa Sugar Iddi Moby Mfaume amefariki huku chanzo cha kifo chake kikialifiwa kuwa
“Iddi Moby amedondoka tu Gafla wakati anakimbia Barabarani “Road Work “[emoji22] na ndio kilichopelekea kifo Chake .”

Rest In Peace Champs
View attachment 2538317
 
Poleni Mtibwa Sugar, familia na marafiki wa Iddy Mobby. Apumzike mahala pema peponi.
 
Dah[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Tuwe na taratibu kucheck afya zetu kila mwaka, watu wengi tuna matatizo ya moyo Ila hatujui.
Vipimo vya moyo Echo,ecg ni bei rahisi sio ghali
 
Aliyekuwa Mlinzi wa Klabu ya Polisi Tanzania , Mtibwa Sugar Iddi Moby Mfaume amefariki huku chanzo cha kifo chake kikialifiwa kuwa
“Iddi Moby amedondoka tu Gafla wakati anakimbia Barabarani “Road Work “[emoji22] na ndio kilichopelekea kifo Chake .”

Rest In Peace Champs
View attachment 2538317
Rip Idd
 
Huko Ulaya na Marekani visa kama hivi vimekuwa vingi. Najaribu tu kuwaza kwa sauti
 
Apumzike kwa amani, na poleni familia ya soka.
 
Back
Top Bottom