TANZIA: Mchezaji wa zamani wa Simba, Christopher Alex Massawe afariki dunia

Daaah! Huyu si ni yule mchezaji aliyetoka timu ya simba ya under 20 then akapanda timu ya wakubwa?
 
dah R.I.P Christopher Alex niliwasikia sports extra clouds wakihamasisha watu wamchangie kwa matibabu.
 
Rest In Eternal Peace Brother,uluchangia sana nguvu zako katika kuitumika timu ya Simba lakini wao walikutupa katika mateso ya dunia,mungu wetu ni mwenye huruma na rehema hakika atakupumzisha unapostahili.

Amen
 
RIP Masawe, kwa mwenye picha ya Masawe enzi za uhai wake aiweke ili kuweka kumbukumbu sawa
 
Poleni sana wafiwa..Mungu amlaze pema, Kweli maisha mafupi kwa kijana... R I P.....C A M.
 
RIP Masawe, kwa mwenye picha ya Masawe enzi za uhai wake aiweke ili kuweka kumbukumbu sawa

Kuna member mmoja alileta habari yake humu na picha juzi kati,RIP Christopher Alex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…