TANZIA: Mchezesha Muziki maarufu nchini DJ Rico, amefariki Dunia

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153

Mchezesha muziki maarufu nchini DJ Rico amefariki dunia. Rico ambaye amefanya kazi vituo mbalimbali vikiwemo Clouds na East Africa Radio atakumbukwa na wengi kutokana na umahiri wake katika tasnia hiyo.

Mungu amrehemu.





 
Kwani Henrico wa soundcrafter na Dj Rico ni mtu mmoja au tofauti? Pumzika kwa amani Dj
 
Too Sad ....mimi nimemfahamu 90s enzi za Bills akiwa sehemu ya kundi la madj waliojiita The Powerful 4 (nguvu 4) waliotikisa nchi kisawasawa akiwa na DJ JD, DJ HABIB na DJ G Lover ....alikuwa anajua kupiga aina nyingi za muziki kama House, R&B , Hiphop,oldies na hata Bolingo ....ni moja ya djs wanaojua kutumia mic na kuongea kiingereza fasaha ....amefanya kazi East Africa Radio kwa muda mrefu kabla hajaamua kudeal na issues zingine ....nilikuwa nakutana nae mara nyingi Triple 7 alipokuwa anapiga .....pumzika kwa amani brother ....
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un ila simfahamu kabisa
 
Ngoma gani kali alitengeneza huyu!!?
 
The Powerful 4 Kitambo Sana,HABIB wa 101.4 yupo wapi? M.A.P Rico
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…