jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Wiki ya nne:-
Kuna watu wanakosea kupiga nyungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki ya nne:-
View attachment 1436328
Fayazz ambaye alikuwa Mkuu wa Aga Khan Outreach services amefariki dunia mapema usiku wa kuamkia leo.
Fayazz ni mfamasia kitaaluma.
Kliniki zote za Dar za Aga Khan (ukiacha main Hospital) ndio alikuwa anaongoza.
Taarifa zinabainisha kuwa mama yake mzazi pia yupo hoi na amelazwa.
The Aga Khan Hospital, Tanzania is enhancing its outreach activities through the establishment of 35 outreach health centres all across Tanzania. Currently, 21 are fully operational.
Alikuwepo hatawazi Ety?Inna li Llahi wa Inna Ilayhi rajiun
1+1=2Sijaelewa kabisa mahusiano ya hiki kifo na kuugua kwa mama yake!!??
Kwa ivo wameambukizana!?1+1=2
Huna habari kwamba kuna ugonjwa wa kuambukiza duniani?
Mkuu mie nimechukua 1 nikajumlisha na 1 nikapata 2.Kwa ivo wameambukizana!?
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kujishauri na kuchukua tahadhari juu ya #COVID-19 utawezaje kushauri Rais. Unataka hata vitu vidogo kama kuvaa mask, kunawa mikono, kupunguza safari zisizo za lazima, kutumia sanitizer hadi rais akuhimize? wewe huoni umuhimu wa hivyo vitu?Rais alisema hashauriwi na ukimshauri ndio umeharibu.
Daaaahhhhh!!! Ama kwa hakika udongo unameza watu! Udongo umemmeza huyu jamaa!!!! Aisee.... umeondoka mapema sana brother... Such a humble guy doohhhhh! I am speechless.View attachment 1436328
Fayazz ambaye alikuwa Mkuu wa Aga Khan Outreach services amefariki dunia mapema usiku wa kuamkia leo.
Fayazz ni mfamasia kitaaluma.
Kliniki zote za Dar za Aga Khan (ukiacha main Hospital) ndio alikuwa anaongoza.
Taarifa zinabainisha kuwa mama yake mzazi pia yupo hoi na amelazwa.
Taarifa ya balozi Mahiga ni kweli?
Watu waendelee kupiga nyungu bwana
Au modds mnasemaje?
Kumbe
Pole sana mkuu.Daaaahhhhh!!! Ama kwa hakika udongo unameza watu! Udongo umemmeza huyu jamaa!!!! Aisee.... umeondoka mapema sana brother... Such a humble guy doohhhhh! I am speechless.
Nilimfahamu kwa mara ya kwanza mwaka 2015, huyu jamaa nilipewa namba yake na mtu; hapo hata hatufahamiani, nilikua nahitaji dawa fulani hivi kwa ajili ya mke wangu, ambayo ilikua inapatikana Aga Khan ya Dar es Salaam tuu; Mimi nikiwa Mbeya, hiyo dawa pia ilikua na complications kwa sababu inahitaji ihifadhiwe kwenye ubaridi (joto lisizidi 8 celsius). Kimbembe kikawa ni jinsi gani naipata hiyo dawa, na pia nitaisafirishaje hiyo dawa?
Nikapewa namba ya jamaa na mfamasia mwingine ambaye nilikua nae Mbeya ('Bin Laden alikua ni mfamasia pia). Nikampandia hewani, nikamuelezea pale, akawa very concerned; tukakamilisha jinsi ya kuipata, akaniambia sio ishu nimtumie prescription kwa njia ya WhatsApp, nikafanya hivyo, kisha nikamuunganisha na jamaa wa health insurance yangu, hilo likaisha, nikawa nawaza naipataje sasa? Jamaa kama baada ya masaa mawili ananipigia simu ananiambia kuwa dawa inakuja na Fast Jet ya Mbeya inayotua Mbeya same day saa kumi na nusu jioni...!! Kumbe alikua ametafuta cold box, kaifunga dawa vizuri tayari... Nikamwambia nashukuru sana kaka, sikuamini masikio yangu, nikamwambia naomba uniambie gharama uliyotumia nikutumie kwenye M Pesa, akaniambia hakuna haja kaka, nimefanya out of good heart, no need to worry about that, najua shemeji anahitaji sana hii dawa. Nikamsisitiza sana aniambie gharama, akakataa kabisa. We kept in touch na mwaka 2016 nilivyoenda Dar, ndo nikaenda Aga Khan na kuonana nae kwa mara ya kwanza!! Tuliendelea kuwasiliana kwa ukaribu sana, na kushirikiana kwenye mambo mbalimbali...
Daahhh, nimeishiwa cha kuandika, Inatosha.
RIP kaka.
Maana hata ukiumwa sasa hivi huruhuisiwi kuwaambia ndugu zako, utakua una misuse namba yako ambay uliiwekea airtime kwa gharama zako mwenyewe
Maana hata ukiumwa sasa hivi huruhuisiwi kuwaambia ndugu zako, utakua una misuse namba yako ambay uliiwekea airtime kwa gharama zako mwenyewe
Tisiaraei wanasema kama unahitaji kutangaza janga uende wakupe namba maalum. Yani hii serikali hatutaisahau kamwe! Inaondoka na historia chafu sana.Maana hata ukiumwa sasa hivi huruhuisiwi kuwaambia ndugu zako, utakua una misuse namba yako ambay uliiwekea airtime kwa gharama zako mwenyewe
Tisiarae wanapiga nyungu muda huu kama huyu beberu wa CCMTisiaraei wanasema kama unahitaji kutangaza janga uende wakupe namba maalum. Yani hii serikali hatutaisahau kamwe! Inaondoka na historia chafu sana.
Apo mama yake yupo hoi hospital tusha plus plusView attachment 1436328
Fayazz ambaye alikuwa Mkuu wa Aga Khan Outreach services amefariki dunia mapema usiku wa kuamkia leo.
Fayazz ni mfamasia kitaaluma.
Kliniki zote za Dar za Aga Khan (ukiacha main Hospital) ndio alikuwa anaongoza.
Taarifa zinabainisha kuwa mama yake mzazi pia yupo hoi na amelazwa.