Tanzia: Mjumbe wa kamati ya utendaji wa Yanga, Wakili Felix Kibodya amefariki dunia

kijenge juu

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
91
Reaction score
140
Hatari wakuu

Taarifa zilizonifikia hivi punde mjumbe wa kamat tendaji ya YANGA amefariki dunia Leo asubh taratbu Za mazishi zinafanyika mbezi beach nyumban kwake marehemu

Ikumbukwe ndugu kibodya alichaguliwa siku s nyingi na mwenyekiti wa klabu ya YANGA Dr msolwa

Source: e fm redio
 
Ivi ana udugu na Zainab Kibodya eeeeenh, RIP mjumbe
 
Pole sana kwa familia, marafiki na jamaa, Pole ya kupoteza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…