kijenge juu
Member
- May 23, 2019
- 91
- 140
Hatari wakuu
Taarifa zilizonifikia hivi punde mjumbe wa kamat tendaji ya YANGA amefariki dunia Leo asubh taratbu Za mazishi zinafanyika mbezi beach nyumban kwake marehemu
Ikumbukwe ndugu kibodya alichaguliwa siku s nyingi na mwenyekiti wa klabu ya YANGA Dr msolwa
Source: e fm redio