TANZIA: Mmiliki wa timu ya Leicester Vichai Srivaddhanaprabha, afariki dunia baada ya helicopter yake kuanguka nje ya uwanja wa Leicester

TANZIA: Mmiliki wa timu ya Leicester Vichai Srivaddhanaprabha, afariki dunia baada ya helicopter yake kuanguka nje ya uwanja wa Leicester

Kilichonishangaza ni kuconfirm kuwa alikuwemo baada ya saa 24 kwanini ilichukua muda hivo kuthibitisha
 
Walipofudhu kuchukua kombe msimu wa 15/16 wachezaji wote aliwanunulia BMW 8i wachezaj wote.. RIP Bilionea
 
Back
Top Bottom