monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Aisee Rip yaani kufa jebby bora angekufa wewe unayesoma comment hii
inasikitisha sanaangekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaempenda hayupo tena duniani swahiba.......RIP mwamba msalimie swahiba wako ameshakupokea
[emoji23] [emoji23]We jamaa VP umetumwa au ?
Hana picha ya passport size aliyopiga Bila swaga?Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.
Msanii Jebby atakumbukwa kwa wimbo wake wa 'Swahiba' aliomshirikisha Afande Sele. Wimbo huo umekuwa ukisikika kunapotokea msiba mkubwa na hata Masogange umauti ulipomkuta wimbo wa ''Swahiba'' umegongwa sana.
RIP Jebby.
Wimbo wa Swahiba